Pundamilia wakionekana kwa uchache
Ndege Pori
Tembo ndio wameadimika kabisa hawaonekani
Swala ambao walikuwa wanaonekana kwa wingi sana, sasa wamekuwa hadimu kabisa wanaonekana kwa makundi machache machache sana
Nyati nao wanaonekana kwa mmoja mmoja sana ..