WAPENZI
wa muziki usiku wa kuamkia leo waliburudika kwa mapigo ya bendi ya
taarab ya Jahazi katika onyesho la nguvu la kwanza kwa mwaka 2014 ndani
ya uwanja wa Taifa wa Burudani Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini
Dar.
Pozi la kinadada ndani ya Dar Live.