BREKING NEWS NGEMA YAANGUKA TENA ARUSHA YAUWA MTU MMOJA NA WENGINE WAJERULIWA

NGEMA YAUWA TENA ARUSHA MIEZI KADHAA TANGU KUFARIKI DUNIA KWA WATU KUMI NA TATU 13 KATIKA MACHIMBO YA MORAMU YA MUSHONO MTU MMOJA AMEFARIKI DUNIA NA WENGINE KUJERULIWA KATIKA MACHIMBO YA MORAMU YA MLIMA CCM ILIPO KWA MOROMBO TUKIO HILI LIMETOKEA DAKIKA CHACHE ZILIZOPITA TAARIFA ZAIDI TUTAENDELEA KUWAJUZA

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia