Waimbaji wa Skylight Band kutoka kushoto Joniko Flower, Sony Masamba na
Sam Mapenzi wakitoa burudani kwa mashabiki wao Ijumaa ya mwisho kwa
mwaka 2013 kabla ya kuelekea Mwanza kwa ajili ya show ya mkesha wa Mwaka
mpya ndani ya The Rock City Cruise Party na tarehe 1 January 2014
kwenye VIP Part ndani ya hoteli Gold Crest jijini Mwanza.
Aneth Kushaba AK 47 na Digna Mbepera wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Nyomi ya mashabiki wa Skylight Band wakisebeneka na Skylight Band.
Kipaji kipya cha Skylight Band Donode (katikati) sambamba na Winnie pamoja na Digna Mbepera wakitoa burudani.
Burudani mwanzo mwisho.....Mheshimiwa Bundala akisebeneka.
Mary Lucos akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band kwenye show yao ya
Ijumaa kwa mwaka 2013 ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini
Dar.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Real Unique Tanzania, Bw. Albert Mkaoye,
akiwatambulisha Models wa kampuni yake walioshiriki kwenye Party ya
kufunga mwaka ulioenda sambamba na Usiku wa Traditional Fashion Show
pamoja na burudani ya Skylight Band.
Rappa wa Skylight Band Sony Masamba sambamba na Models wa Real Unique Tanzania wakiwapa raha mashabiki wa band hiyo.
Models wa Real Unique wakichizika na Staili ya "Yachuma chuma" na Skylight Band.
Mdau Alosi Ngonyani akichukua matukio kwenye simu yake....!! ni balaa haina mfano.
Mashabiki wakisebeneka kwa raha zao na Skylight Band.
Mduara ulihusika pia...
Wadada wakizungusha nyonga zao...!!!
Kutoka kushoto ni Digna Mbepera, Winnie pamoja na bishosti wake wakipata Ukodak backstage.
Mashabiki wa Skylight Band na Ukodak.
Zainul Photo katika Ukodak na wadau.
Warembo wa ukweli ndani ya Skylight Band.
Wadau wakishow love na Ukodak.
Skylight Band for life...ndio msemo wa mabinti hawa na Ukodak.