Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akiwasalimia wageni waalikwa waliofika kwenye tafrija
hiyo aliyoiandaa kwa wananchi wake na wageni mbalimbali ya kuukaribisha
mwaka mpya 2014,iliyofanyika nyumbani kwake Ngarashi Monduli.
Waziri Mkuu mstaafu na mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa (katikati) akizungumza na Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Mh. Goodluck Ole-Medeye wakati wa tafrija hiyo iliyofanyika nyumbani kwake Ngarashi Monduli.