Ticker

6/recent/ticker-posts

BREAKING NEWS:WATU TISA WAFARIKI DUNIA UKO MANYARA BAADA YA KUFUKIWA NA MCHANGA


Machimbo ya mchanga ambo watu wamekuwa wakipoteza maisha baada ya kufukiwa na kifusi.
Watu 9 wamefariki duni HIVI PUNDE baada ya kufukiwa na kifusi wilayani Karatu, Mkoa Manyara wakati wakichimba mchanga.

Eneo ambako walikuwa wakichimba mchanga watu hao lilikuwa limezuiwa na Serikali, lakini watu hao wameanza tena kuchimba hivi karibuni.

Katika ajali hiyo mtu mmoja amenusurika kufa. 

Post a Comment

0 Comments