Msanii Vanessa Mdee akiwa jukwaani akiwakonga mashabiki. |
Msanii Diamond Platinumz akiwa katika jukwaa la castle lite unlocks akiwakonga wapenzi wa burudani usiku wa kuamkia leo |
Msanii Casper Nyovest akiwa jukwaani akiwakonga mashabiki. |
Msanii toka Marekani FUTURE akiwa jukwaani kwenye tamasha kubwa la castle lite unlocks usiku wa kuamkia leo |
. Wasanii Nevy Kenzo wakizungumza na waandishi wa habari kwenye tamasha la castle lite unlocks usiku wa kuamkia leo |
. Msanii Diamond akizungumza na waandishi wa habari wakiongozwa na Taji Liundi kabla ya kupanda kwenye jukwaa la castle lite unlocks usiku wa kuamkia leo |
Sehemu ya mashabiki waliofurika viwanja vya Leaders |
Sehemu ya mashabiki waliofurika viwanja vya Leaders |
Sehemu ya mashabiki waliofurika viwanja vya Leaders |