Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF)
Alhaj Mussa Mbaruku akizungumza na madereva wanaofanya safari zao kati
ya Masiwani,Magomeni,Majengo na Raskaone Jijini Tanga
waliogoma kutoa
huduma kwa siku nzima wakiishinikiza Halmashauri kuikarabati barabara
wanazozitumia kutokana na ubovu ambapo Mbunge huyo aliwataka kuendelea
shughuli zao wakati kilio chao kikifanyiwa kazi
Kamanda wa Kikosi cha Usalama
barabarani (RTO)Nassoro Sisiwaya akizungumza kushoto ni Mbunge wa Jimbo
la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku
Mstahiki Meya wa Jiji la
Tanga,Alhaj Mustapha Selebosi akizungumza na waansdishi wa habari kuhusu
namna halmashauri ilivyoweza kulitatua tatizo hilo mara moja kwa
kupitisha greda kuichonga
Kaimu DTO wa wilaya ya
Tanga,Imani Raphael akizungumza katika tukio hilo la mgomo wa madereva
hao
Kaimu DTO wa wilaya ya
Tanga,Imani Raphael akizungumza na madereva hao ambapo aliwataka kuendelea
na shughuli zao wakati suala lao likishughuliwa na mamlaka
husika
Diwani wa Kata ya Duga (CUF)
Khalid Rashid akizungumza katika mgomo huo
habari kwa hisani ya Blog ya
Kijamii ya Tanga Raha