kurugenzi wa Kampuni ya Simu za mkononi Tigo, Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Jackson Kiswaga akifungua simu aina ya Sumsang, yenye thamani ya Shilingi milioni 1.9/= na pembeni yake ni mshindi wa wiki wa promosheni ya Jaza Ujazwe Ujaziwe zaidi, mkazi wa jijini Mbeya, Chiku Miyeka jana eneo la Kabwe Jijini hapa mapema jana. |