Rais John Magufuli akimkabidhi Tuzo ya ushindi wa kipengele cha mawasiliano ya Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa sabasaba 2017 kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania, Simon Karikari, jijini Dar Es Salaam leo. Kulia ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage.
Tuzo ikipokelewa.
Mkono wa pongezi ukitolewa.