Mtu mmoja ambaye jina lake halijaweza kufahamika mara moja amefariki
dunia mara baada ya kupigwa na kitu kizito sehemu ya kisogoni na watu
wasio fahamika .
Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo kamanda wa polisi mkoani hapa Thobiasi Andengenye alisema kuwa tukio hilo lilitokea January 16 mwak huu majira ya saa 12:00 asubuhi katika maeneo ya barabara ya Bulka olasiti ndani ya halimashauri ya jiji la Arusha.
Alisema kuwa mtu huyo ambaye ajaweza kufahamika jina mara moja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 na 30 ambaye ni dereva wa piki piki maarufu kama Boda boda alikutwa amefariki dunia mara baada ya kupigwa na watu wasio julikana .
Alisema kuwa maramarehemu huyo alikutwa akiwa amefariki huku pikipiki yake yenye namba za usajili T 790 BJJ aina ya King Lion ikiwa imepakiwa pembeni .
"baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo waliliambia jeshi la polisi kuwa waliukuta mwili wa marehemu ukiwa pembeni mwa nyumba ya mkazi mmoja wapo waveneo hilo na ndipo walipoamua kutoa taarifa katika kituo kikuu cha polisi"Alisema Andengenye
Alibainisha kuwa mara baada ya askari kupata taarifa walifka katika eneo la atukio na kuukutwa mwili wa marehemu na walipoukagua waliukuta mwili huo una jeraha sehemu ya kisogoni na hamna kitambulisho chochoto ambacho kingeweza kumtambulisha.
Andengenye alisema kuwa mwili wa marehemu umeifadhiwa katika hospitali ya mkoa ya Mounti Meru na uchnguzi wa tukio hilo unaendelea kuwabaini waliohusika na tukio hilo.

Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia