KESI YA LEMA BADO KITENDAWILI AENDELEA KUSOTA RUMANDEMbunge wa Arusha mjini Godbless Lema akiwasili mahakamani leo kama anavyoonerkana pichani akiwa na mahabusu wengine 
Baadhi ya wananchi wa Arusha wakiwa njen ya mahakama leo Jijini Arusha .

Baadhi ya wafuasi wa chama cha Demokrasia na maendeleo( chadema)wakiwa nje ya uzio wa mahakama leo mkoani Arusha
 Wafuasi wa chadema wakimpungia mkono mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema baada ya kutoka mahakamani kurudi mahabusu
 

Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema akiagana na mkewe na wakili wake ndani ya mahakama kabla ya kurudishwa mahabusu leo.  Picha zote na habari na Vero Ignatus Blog

 Mbunge wa Arusha mjini Godbless amerudishwa mahabusu imeweka pingamizi la maombi ya kuongezewa muda wa kukata rufaa  , baada ya upande wa jamhuri kuweka mapingamizi mawili
 
 Uamuzi huo  lilitakiwa ulitarajiwa kutolewa na jaji Modesta Opiyo baada ya kupokea kupokea hoja za pingamizi la maombi hayao zilizotolewa na mawakili waandamizi wa Jamhurikatika shauri hilo la Lema,

Wakili upande wa Jamhuri Matheneus Marandu ameiambia mahakama kuwa maombi yaliyoletwa mahakamani hapo kutoka upande wa mshtakiwa  hayajakidhi matakwa ya kisheria hivyo ameiomba mahakama kutupilia mbali maombi hayo.


Mbunge Lema amerudishwa rumande hadi desemba 16 mwaka huu baada ya Jaji anayesikiliza kesi hiyo amesema atatoa uamuzi juu ya pingamizi hilo la jamhuri disemba 16 mwaka huu.

About Woinde Shizza

Mwandishi , Mjasiriamali na Mbunifu wa Mavazi. Email : woindeshizza@gmail.com , Instagram: woindeshizzablog.