Mkuu
wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa
habari kuhusu mwandishi wa kituo cha ITV Halfani Liundi aliyekamatwa
hivi karibuni na jeshi la polisi, ambapo pamoja na mambo mengine
alisema kuwa anatambua umuhimu wa vyombo vya habari na hivyo mwandishi
anauhuru wa kwenda popote kupata taarifa yeyote kwa kuzingatia misingi
ya uandishi wa habari
Mwandishi
wa habari wa kituo cha channel Ten Aristrides Dotto akichangia katika
mkutano huo wa waandishi wa habari na mkuu wa Mkoa juzi ofisinii kwake
jijini Arusha
Baadhi ya waandishi wa habari wakifatilia mkutano huo
Mwandishi
wa gazeti la Mwananchi Mosses Mashalla akichangia katika mkutano huo wa
mkuu wa Mkoa na waandishi wa habari mkoa wa Arusha