MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO AKABIDHI MADAWATI KATIKA SHULE YA MSINGI CHEMKA

 Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Sadiki Meck Sadiki akimsalimia mwanafunzi
Fadhili Mwidini wa shule ya Msingi Chemka iliyopo wilaya ya Hai,Mkuu wa
mkoa alifika kukabidhi madawati pamoja na kuzindua vituo vya kunawa mikono
vilivyofadhiliwa na Chuo cha Ufundi Arusha (ATC).

Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) ,Dr.Richard Masika akitoa ufafanuzi
juu ya vituo vya kunawa mikono vilivyofadhiliwa na chuo hicho katika shule
ya Msingi Chemka iliyopo wilaya ya Hai,kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa
Kilimanjaro Sadiki Meck Sadiki

About Woinde Shizza

Mwandishi , Mjasiriamali na Mbunifu wa Mavazi. Email : woindeshizza@gmail.com , Instagram: woindeshizzablog.