Kaimu
Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka Alipo tembezwa na Mkuu wa Wilaya ya
Kyelwa Kuona Athari zilizo tokana na Mvua ya Mawe Zilizo Wakumba
Wananchi wa kijiji Kangenyi Kata ya Kieluwa Wilayani Kyelwa
Mhandisi
wa Maji wilaya Misenyi ABdallah Gendaheka wa tatu kutoka kushoto akitoa
maelezo mbele ya kaimu katibu mkuu wa UVCCM na msafara wake
walipoutembelea mradi huo wa maji ambao kati ya vituo 15 ni vituo vi8tu
vinavyotoa na saba kwa mwaka mmoja na miezi miwili sasa vimeharibik
Kaimu
Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka akipata maelezo toka kwa Afisa
Mfawidhi wa Mpaka wa Mutukula Bw.Samwel Mori wilayani Misenyi Mkoani
Kagera alipotembelea katika mpaka huo kuangalia shughuli za kihuduma
katika mpaka huo.
Mapokezi ya Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka alipo Wasili Bukoba Mjini
Watendaji
na wakuu wa Idara katika Halmashauri ya Manispa ya mji wa Bukoba
wakimsikiliza Ndg:Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka
alipotembelea Manispaa hiyo