Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Doroth Mwanyika (kulia), akimsikiliza Kaimu
Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha Dkt. Faraji Kasidi (kushoto) wakati
akielezea mafanikio na changamoto zinazokikabili chuo hicho. Kushoto kwa Mkuu wa Chuo ni Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali Bw. Mohamed
Mtonga, Msaidizi wa Mkuu wa Chuo Dkt. Samwel Werema, Mkaguzi wa Ndani
Mkuu Msaidizi– Ukaguzi Mamlaka za Mitaa Bw. Mwanyika Musa na Mkuu wa
Kitengo cha Ukaguzi wa Kiufundi Bw. Amin Mcharo
Naibu
Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Doroth Mwanyika (kulia),
akijibu hoja zilizotolewa na Kaimu Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha Dkt.
Faraji Kasidi (kushoto) alipofika Ofisi Kuu ya Chuo hicho kabla ya
kufungua mafunzo ya siku nne ya wakaguzi kutoka mikoa ya Kanda ya
Kaskazini.
Kaimu
Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha Dkt. Faraji Kasidi aliyesimama akitoa
utangulizi kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi katika ufunguzi wa mafunzo
kwa wakaguzi wa Ndani kutoka Serikali za Mitaa na Sekretarieti za Mikoa.
Kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bi.
Doroth Mwanyika, Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali Mohamed Mtonga, Mkuu
wa Kitengo cha Ukaguzi wa Kiufundi Bw. Amin Mcharo na kulia kwa Kaimu
Mkuu wa Chuo ni Mkaguzi wa Ndani Mkuu Msaidizi wa Serikali – Ukaguzi
mamlaka za mitaa Bw. Mwanyika Musa.
Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Doroth Mwanyika
(aliyesimama) akisoma hotuba ya ufunguzi wa mafunzo ya wakaguzi wa ndani
ambapo alisema mpaka sasa wakaguzi wa ndani 308 wamepata mafunzo hayo
na wakaguzi 32 wameshafanya mafunzo hayo kwa vitendo.
Wakaguzi
wa Ndani kutoka Serikali za Mtaa na Sekretarieti za Mikoa wakiwa kwenye
mafunzo ya ukaguzi, Mgeni Rasmi katika mafunzo hayo ni Naibu Katibu
Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Doroth Mwanyika. Mafunzo haya
yanafanyika katika ukumbi wa Chuo cha Uhasibu Arusha, mkoani Arusha.
Wakaguzi
wa Ndani kutoka Serikali za Mitaa na Sekretarieti za Mikoa katika picha
ya pamoja. Waliokaa ni Mgeni Rasmi na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha
na Mipango Bi. Doroth Mwanyika kulia kwake ni Kaimu Mkuu wa Chuo cha
Uhasibu Arusha Dkt. Faraji Kasidi, Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa
Kiufundi Bw. Amin Mcharo na kushoto kwake ni Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa
Serikali Mohamed Mtonga na Mkaguzi wa Ndani Mkuu Msaidizi wa Serikali –
Ukaguzi mamlaka za mitaa Bw. Mwanyika Musa.
Mgeni
Rasmi na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Doroth
Mwanyika (katikati) wakibadilishana mawazo na Kaimu Mkuu wa Chuo cha
Uhasibu Arusha Dkt. Faraji Kasidi (Kushoto) na kulia ni Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali Mohamed Mtonga.
Naibu
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Doroth Mwanyika akimsikiliza
Mkaguzi wa Ndani Mkuu Msaidizi wa Serikali – Ukaguzi mamlaka za mitaa
Bw. Mwanyika Musa ambapo alisema mafunzo hayo ni muhimu kwani yamelenga
kuimarisha ukaguzi wa miradi mikubwa ili ujenzi wake ulingane na thamani
ya fedha iliyotumika.
Kaimu
Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha Dkt. Faraji Kasidi akumfafanulia jambo
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Doroth Mwanyika.
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia