Tanzania yetu maliasili zetu Hakuna jambo zuri kama
kusherekea Sikukuu ukiwa kwenye mandhari tulivu ambayo itakufanya
ussosike na chakula kizuri huku ukifanya vitu vipya au kuona vitu
tofauti ambavyo huvioni mara kwa mara katika mzunguko wako wa
maisha.
Msimu wa Sikukuu ndiyo huu!!! Fanya sikukuu yako kuwa ya
kipekee kwa kutembelea HIFADHI ZA TAIFA. Tuendelee kusapoti Utalii wa Ndani
kwa kutembelea #HifadhiZetu. More info piga 0784133217|
0765908073.
HapaKaziTU
|