WHITEDENT YATOA ZAWADI YA GARI KWA MSHINDI ALIYEWEZA KUJUAIDADI ZA ZAWAZILIZOPO KWENYE GARI

 
 
Mshindi wa Promotion ya Whitedent ya kubuni idadi ya dawa za meno ziliko
kwenye gari mkoani Arusha, Misana Butingo(kulia)akipokea funguo za gari
kutoka kwa Afisa Utamaduni na Michezo  wa jiji la Arusha,Benson
Maneno(wapili kushoto) wengine ni Meneja wa Tawi la Whitedent Arusha Joyce
Kisanga(kushoto) na Diwani wa Kata ya Themi, Melace Kinabo(picha na Woinde Shizza,Arusha).

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post