MAMLAKA ZA BIMA PAMOJA NA WADAU WATAKIWA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI KUHUSIANA NA BIMA

  Mamlaka ya Bima Tanzania pamoja na wadau wote wametakiwa kutoa elimu kwa wananchi ili waweze kuwa na uwelewa wa kutosha kuhusu bima Kauli ...
Read More

UMEFIKA WAKATI WA KILA DIWANI KUJITAFAKARI NA KUFANYAKAZI KWA BIDII ILI KUWEZA KUTATUA KERO ZA WANANCHI:ME YA WA JIJI LA ARUSHA MAXIMILIAN

 Baraza la Madiwani wa jiji la Arusha limemchagua kwa mara nyingine Diwani wa Viti Maalum (CCM), Veronica Mwelange kuwa naibu meya wa jiji h...
Read More

MKUTANO WA DHARURA WA BARAZA LA MAWAZIRI WA NCHI ZINAZOZALISHA ALMASI (ADPA)KUFANYIKA KESHO JIJINI ARUSHA

  waziri wa madini,Doto Biteko wakati akiongea na vyombo vya habari kuhusiana na mkutano wa tatu wa dharura wa baraza la mawaziri wa jumuiya...
Read More

DC MOYO :ZAIDI YA WANANCHI 48, 434 WAMEJITOKEZA KUCHANJA CHANJO YA UVIKO 19

  Mkuu wa wilaya ya Iringa Mohamed Hassan Moyo akishuhudia baaadhi ya wananchi wa wilaya hiyo wakipata chanjo ya UVIKO 19 kwa ajili ya kujik...
Read More

QWIHAYA AMUAHIDI WAZIRI MAKAMBA KUPELEKA NGUZO ZA UMEME NKASI

    Mkurugenzi wa Kampuni za Kuzalisha Nguzo za Umeme ya Qwihaya,  Leonard Mahenda akiwa na Waziri Wa Nishati Mheshimiwa January Makamba wak...
Read More

HALMASHAURI YA JIJI LA ARUSHA YAJIPANGA KUBORESHA SEKTA ZA UMEME BARABARA KUVUTIA UTALII

 Halmashauri ya Jiji la Arusha limejipanga kuboresha sekta za maji Umeme,barabara na usafi wa mazingira kwa kuandaa Baraza Maalum kujadili c...
Read More

WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAJIPANGA KUSHIRIKIANA NA WADAU WA SEKTA YA UTALII

  Waziri wa maliasili na utalii Balozi dkt Pindi Chana akiongea katika mkutano wa wadau wa sekta ya utalii (MPPD)leo mkoani Arusha. Na Woi...
Read More

AMREF WAENDESHA MAFUNZO KWA WAKUFUNZI WA MRADI WA WAWE MKOANI IRINGA

    Mmoja ya wakufunzi kutoka  Shirika la Amref Health Africa  akiendelea kutoa elimu ya  usimamizi na uratibu kwa wakufunzi wa vikundi vya ...
Read More