Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akitoka ndani ya moja ya nyumba zinazotumia majiko sanifu wakati
alipotembelea katika kijiji cha Enguiki Wilaya ya Mondoli Mkoani Arusha
Mke wa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mama Zakia
Bilal, akicheza ngoma ya kimasai na wananchi wa kijiji cha Enguiki
Wilayani Monduli Mkoani arusha walipofika kijijini hapo kwa ajili ya
kuzungumza na wananchi hao
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Mhe. Dkt. Binilith S.
Mahenge, akisalimiana na wananchi wa kijiji cha Enguiki Wilayani Monduli
Mkoani Arusha, ambapo ameambatana na Makamu wa Rais kwenye ziara hiyo.
Mke wa
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mama Zakia
Bilal, akisalimiana na Wananchi wa kijiji cha Enguiki Wilayani Monduli
Mkoani arusha walipofika kijijini hapo kwa ajili ya kuzungumza na
wananchi hao
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akipokea kifimbo kutoka kwa wazee wa kijiji cha Enguiki Wilaya ya
Mondoli Mkoani Arusha mara baada ya kusimikwa kuwa
kiongozi wa kabila la kijiji hicho.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akizungumza na Mkuu wa karakana ya utengenezaji Majiko Sanifu
Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha Prof. Robert V. Lange
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa karakana ya utengenezaji
Majiko Sanifu Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha Prof. Robert V. Lange juu
ya kusafisha na kuyafanya maji kuwa salama, wakati alipotembelea sehemu
ya karakana hiyo inayotumia umeme wa nguvu za jua (Solor Power Energe)
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa karakana ya utengenezaji
Majiko Sanifu Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha Bw. Kisioki Moitiko
kuhusu utengenezaji wa majiko hayo, wakati alipotembelea kwenye karakana
hiyo
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia