Mkurugenzi
wa huduma na elimu(TRA)Richard M.Kayombo akifungua semina ya siku moja
kwa waandishi wa habari Mkoa wa Arusha, semina iliyolenga kuwapa elimu
juu ya matumizi sahihi ya mashine za EFD
Waandishi
wa habari wa vyombo mbalimbali Mkoa wa Arusha wakifatilia semina kwa
ukaribu,semina iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania
Afisa
elimu kodi mwandamizi TRA Hamis Lubenja akitoa mada mbele ya wanahabari
kuhusiana na matumizi ya mashine za kieletroniki katika ulipaji wa kodi
huku akisisitizia kudai risiti baada ya manunuzi
Wanahabari wakiwa wananukuu pointi za muhimu katika semina hiyo
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
RELATED POSTS
0
Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia