HII NI AIBU KUBWA KWA VIONGOZI WA JIJI LA ARUSHA KUKAA OFISINI WAKATI MIUNDO MBINU NI MIBOVU KAMA HIVI TAKATAKA ZIMEKAA BARABARANI HIVI MITARO IMEZIBA ADI MAJI YANAPITA JUU
hii ndo hali halisi ya jiji la Arusha mvua inapo nyesha hapa ni katika ya jiji maeneo ya standi ya mabasi makubwa
mwananchi akiwa anatafuta namna ya kuruka ili aingie dukani kwake
yaani niabu kwa jiji la Arusha uchafu wa namna hii viongozi mpo wapi mpaka mtu anatupa uchafu tena katika kati ya standi kubwa




0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia