RAIS KIKWETE AUNGANA NA JUMUIYA YA CHUO KIKUU KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MWILI WA BALOZI KAZAURA

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisaini katika kitabu cha maombolezo wakati
alipowasili kwenye ukumbi wa Nkhurumah Chuo Kikuu katika shughuli za
mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Marehemu
Balozi Fulgence Kazaura Chuoni hapo jana February 27, 2014.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisaini katika kitabu cha maombolezo wakati
alipowasili kwenye ukumbi wa Nkhurumah Chuo Kikuu katika shughuli za
mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Marehemu
Balozi Fulgence Kazaura Chuoni hapo jana February 27, 2014. Nyuma yake ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaam Profesa Rwekaza Mukandara.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na waombolezaji wengine kwenye hafla rasmi
ya mazishi ya Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Marehemu Balozi
Fulgence Kazaura katika ukumbi wa Nkrumah Chuoni hapo jana February 27,
2014.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wake, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
wakiwa na waombolezaji wengine kwenye hafla rasmi ya mazishi ya Mkuu wa
Chuo Kikuu cha Dar es salaam Marehemu Balozi Fulgence Kazaura katika
ukumbi wa Nkrumah Chuoni hapo jana February 27, 2014.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwa Mkuu wa Chuo
Kikuu cha Dar es salaam Marehemu Balozi Fulgence Kazaura katika ukumbi
wa Nkrumah Chuoni hapo jana February 27, 2014.

Makamu wa Rais
Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima zake za mwisho kwa Mkuu wa
Chuo Kikuu cha Dar es salaam Marehemu Balozi Fulgence Kazaura katika
ukumbi wa Nkhurumah Chuoni hapo jana February 27, 2014.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akifariji familia ya marehemu kwenye hafla rasmi
ya mazishi ya Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Marehemu Balozi
Fulgence Kazaura katika ukumbi wa Nkrumah Chuoni hapo jana February 27,
2014.

Makamu wa Rais Dkt. Bilal, akitoka ukumbini humo baada ya kutoa heshimza zake za mwisho.
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia