MKUU WA WILAYA YA SIHA WAANGALIE WANANCHI WAKO WANAVYOTESEKA KATIKA KIPINDI MVUA INANYESHA ,NI AIBU KWA MUONEKANA WA SOKO LA SANYA JUU
![]() |
| Hii ni njia ya kuelekea soko hili ikiwa imejaa matope kutokana na kuwa katika kiwango cha changarawe. |
![]() |
| Baadhi ya wachuuzi wakiwa sokoni hapo kununua mahitaji yao lakini mazingira ya soko hayaridhishi kutokana na uchafu uliokithiri hapo na kuhatarisha afya za walaji wa bidhaa. |
![]() |
| hali halisi inavyonekana sokoni hapo baada ya mvua kunyesha. |
![]() |
| Msimu huu wa mvua unasababisha kero hii kwa baadhi ya wateja hata wafanyabiashara sokoni . |
![]() |
| hali hii pia ni kero kwa watembea kwa miguuu sokoni hapo. |
![]() |
| Picha zote na mdau Msafiri wa Mwanaharakati Mzalendo |






0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia