Debra
Backlund, one of the founders of Desktop Publishing Institute (DPI)
speaks during the launch of Computer Aided Drafting and Design (CADD)
Center Dar es Salaam, which is a franchise of CADD Center India. The
Center plans to train more than 1,200 Tanzanians in professional
architectural, engineering and project management job sector annually.
Right is Tanzania Commissioner for Education Prof. Eustella Bhalalusesa
and center is Director at CADD Center Dar es Salaam Shafiq Abdulrasul.
Tanzania
Commissioner for Education Prof. Eustella Bhalalusesa speaks during the
launch of Computer Aided Drafting and Design (CADD) Center Dar es
Salaam, which is a franchise of CADD Center India. The Center plans to
train more than 1,200 Tanzanians in professional architectural,
engineering and project management job sector annually. Seated are Hanif
Abdulrasul (second left) followed by Shafiq Abdulrasul, Directors at
CADD Center Dar es Salaam, and Managing Director CADD Center Mr
Saravanan Karaiadiselvan India.
Tanzania
Commissioner for Education Prof. Eustella Bhalalusesa hands over a
certificate to Aci Muzaffer Ismail- one of the graduates from Computer
Aided Drafting and Design (CADD) Center Dar es Salaam- during a ceremony
to officially launch the center, which is a franchise of CADD Center
India. Left is Hanif Abdulrasul, (second right) Shafiq Abdulrasul,
Directors at CADD Center Dar es Salaam and right is Managing Director
CADD Center India Mr Saravanan Karaiadiselvan. The Center plans to train
more than 1,200 Tanzanians in professional architectural, engineering
and project management job sector annually.
Tanzania
Commissioner for Education Prof. Eustella Bhalalusesa hands over a
certificate to Rajabu Saidi Mofi- one of the graduates from Computer
Aided Drafting and Design (CADD) Center Dar es Salaam- during a ceremony
to officially launch the center, which is a franchise of CADD Center
India. Left is Hanif Abdulrasul, (second right) Shafiq Abdulrasul,
Directors at CADD Center Dar es Salaam and right is Managing Director
CADD Center India Mr Saravanan Karaiadiselvan. The Center plans to train
more than 1,200 Tanzanians in professional architectural, engineering
and project management job sector annually.
Tanzania
Commissioner for Education Prof. Eustella Bhalalusesa receives a gift
from Abdulkarim Bashir, an instructor at Desktop Publishing Institute
(DPI), during a ceremony to officially launch Computer Aided Drafting
and Design (CADD) Center Dar es Salaam which is a franchise of CADD
Center India. Left is Hanif Abdulrasul, (second right) Shafiq
Abdulrasul, Directors at CADD Center Dar es Salaam and right is Managing
Director CADD Center India Mr Saravanan Karaiadiselvan. The Center
plans to train more than 1,200 Tanzanians in professional architectural,
engineering and project management job sector annually.
Managing
Director Computer Aided Drafting and Design (CADD) Center India Mr
Saravanan Karaiadiselvan receives a gift from Rehema Mtutura, Desktop
Publishing Institute (DPI) sales officer, during a ceremony to
officially launch CADD Center Dar es Salaam which is a franchise of CADD
Center India. Second left is Director at CADD Center Dar es Salaam
Hanif Abdulrasul, followed by Tanzania Commissioner for Education Prof.
Eustella Bhalalusesa and Shafiq Abdulrasul Director at CADD Center Dar
es. The Center plans to train more than 1,200 Tanzanians in professional
architectural, engineering and project management job sector annually.
Director
at Computer Aided Drafting and Design (CADD) Center Dar es Salaam Hanif
Abdulrasul speaks during the launch of the center in Dar es Salaam
yesterday, which is a franchise of CADD Center India. The Center plans
to train more than 1,200 Tanzanians in professional architectural,
engineering and project management job sector annually. Second left is
Tanzania Commissioner for Education Prof. Eustella Bhalalusesa, followed
by Director at CADD Center Shafiq Abdulrasul and Managing Director CADD
Center India Mr Saravanan Karaiadiselvan.
Tanzania
Commissioner for Education Prof. Eustella Bhalalusesa speaks to
journalists during a ceremony to officially launch Computer Aided
Drafting and Design (CADD) Center Dar es Salaam yesterday, which is a
franchise of CADD Center India. Left is Hanif Abdulrasul, (second right)
Shafiq Abdulrasul, Directors at CADD Center Dar es Salaam and right is
Managing Director CADD Center India Mr Saravanan Karaiadiselvan. The
Center plans to train more than 1,200 Tanzanians in professional
architectural, engineering and project management job sector annually.
========= ======= ==========
Kituo cha mafunzo chazinduliwa kuiongezea thamani soko la ajira la uhandisi na usimamizi wa miradi
Wataalam
zaidi ya 1,200 katika fani ya uhandisi, usanifu majengo na usimamizi wa
miradi, wanatarajiwa kuingizwa katika soko la ajira hapa nchini kila
mwaka kutokana na uanzishwaji wa kituo cha mafunzo cha Computer Aided
Drafting & Design (CADD) cha jijini Dar es Salaam.
Kituo hicho kilichozinduliwa jana, kwa kushirikiana na moja ya taasisi ya uchapishaji ijulikanayo kama Desktop Publishing Institute (DPI) la Dar es Salaam, kitasaidia katika kuongeza thamani katika fani tajwa na hivyo kubadilisha na kuboresha ufanisi wa kazi katika sekta hizo.
Hii
ilibainishwa na mmoja wa waanzilishi wa DPI, Bi. Debra Backlund, wakati
wa uzinduzi wa kituo hicho ambacho ni wabia katika biashara na kituo
cha mafunzo chaComputer Aided Drafting & Design (CADD) cha nchini India.
Bi. Debra alisema kituo hicho kinampango wa kushirikiana na taasisi mbali mbali za elimu ya juu na makampuni ya kibiashara ili kubaini mapungufu yaliyopo katika wataalam wenye ujuzi na kutoa mafunzo ya kipekee kwa wanafunzi na wataalamu katika sekta hiyo.
"Katika
jitihada za kupata mafunzo bora yanayotambuliwa kimataifa na kuongeza
utaalam katika vitengo vya maendeleo, kituo cha CADD cha Dar es salaam
kina nia ya kuongeza ushindani katika soko la Tanzania kwa kutoa mafunzo
ya kitaalam kwa kuwawezesha wataalam hao kutumia compyuta katika kazi
zao. Tumejipanga kuzalisha wataalam watakaotosheleza mahitaji ya viwanda
na sekta za huduma nchini," Debra alisema.
Aliongeza
kuwa kituo hicho kitatoa vyeti vitavyotambuliwa kimataifa kwa watainiwa
watakaofanya vizuri baada ya kupata mafunzo katika masomo zaidi ya 15
yakijulikana kama global CAD/ Computer Aided Engineering (CAE)/ Computer
Aided Manufacturing (CAM) na Project Management products kutoka
Autodesk, PTC, Bentley, Ansys na Siemens.
Naye,
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dk Shukuru Kawambwa, katika hotuba
yake iliyosomwa kwa niaba yake na Kamishna wa Elimu Prof Eustella
Bhalalusesa, alisema kuanzishwa kwa kituo cha mafunzo cha CADD jijini
Dar es Salaam chenye ubora wa daraja la kwanza ni hatua kubwa ya
mafanikio kwa Tanzania, hususani mafunzo hayo yakiwa sasa yanatolewa
karibu na wahitaji.
"Hapo
awali, Watanzania wengi walikuwa na hamu ya kupata mafunzo kama haya,
ambayo yalikuwa yakipatikana nchi za nje pekee. Nina hakika kwamba
wataalamu wataitumia fursa hii ya mafunzo haya yatakayotolewa kikamilifu
ili kuongeza ufanisi katika kazi zao na kupata wataalamu wengi watakao
tosheleza soko la Tanzania, " Waziri alisema.
Dk
Kawambwa alisisitiza kuwa wakati kituo hichokikitoa mafunzo hayo,
kinapaswa kuzingatia taratibu zote zinazotakiwa ili kukubalika
kikamilifu na mamlaka zote husika. Hata hivyo,
alibainisha kuwa Bodi ya Usajili wa Wahandisi tayari ilishapitisha
mitaala itakayotumika katika utolewaji wa mafunzo hayo.
"Kituo
hichi hakina budi kutoa mafunzo yakipekee yatakayotosheleza mahitaji ya
viwanda na sekta ya huduma nchini kwa kushirikiana na taasisi za elimu
ya juu. Hii itawezesha kuziba pengo lililopo la ujuzi huo baina ya
wataalamu na mafundi mbalimbali," alisema.
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia