NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA MKUTANO WA SIKU SITA WA MAKAMANDA WA JESHI LA POLISI NCHINI WAFANYIKA MJINI MOSHI MKOANI KILIMANJARO
Posted by
woinde
on
Tuesday, February 18, 2014
in
MATUKIO
POLISI
|
|
Baadhi
ya washiriki wa Mkutano wa makamanda wa polisi, wakimsikiliza mgeni
Rasmi, Naibu waziri wa mambo ya ndani, Pereira Sirima (hayupo pichani),
nyuma katikati ni Meneja wa NMB kanda ya Kaskazini, Vicky Bishubo
(aliyevaa miwani). |
|
Kamanda
wa Polisi mkoani Kilimanjaro, Robert Boaz pamoja na Makamanda wengine
wa Jeshi hilo, wakimsikiliza Naibu waziri wa mambo ya ndani, Pereira
Sirima (hayupo pichani |
|
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu, akitoa taarifa ya
utekelezaji wa mikakati ya kukabiliana na uhalifu nchini pamoja na
mikakati mingine ya Jeshi hilo wakati wa Uzinduzi wa mkutano wa siku
sita wa makamanda wa jeshi la polisai uliofanyika leo katika ukumbi wa
chuo cha taaluma ya polisi moshi (MPA |
|
Naibu
waziri wa Mambo ya ndani, Naibu waziri wa mambo ya ndani, Pereira
Sirima, akizungumza na Makamanda wa Jeshi la Polisi nchini baada ya
kuzindua mkutano wa siku sita wa makamanda hao ulioanza leo katika
Ukumbi wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi (MPA). |
|
Kutoka
kulia ni IGP Ernest Mangu, Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Pereira
Sirima, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama na Kaimu IGP,
Abdulrahman Kaniki |
|
Mgeni
Rasmi katika uzinduzi wa mkutano wa siku sita wa Makamanda wa Polisi
nchini, Naibu waziri wa Mambo ya ndeani, Pereira Sirima akipokelewa na
IGP Mangu pamoja na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama. |
|
Bendi ya MPA, inayoongozwa na Mwanamuziki, Dogo Vena, ikitumbuiza katika Mkutano huo ulioanza |
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia