Mwelimishaji wa masuala
ya lishe kutoka mradi wa USAID Tuboreshe Sara Luzangi, akiongea na wanafunzi wa
shule za msingi wilayani Babati mkoani Manyara, juu ya umuhimu wa matumizi ya
vyakula vilivyowekwa virutubishi katika kampeni za kutoa elimu hiyo
zinazoendelea katika wilaya mbalimbali za hapa nchini
Mwelimishaji wa masuala
ya lishe kutoka mradi wa USAID Tuboreshe Sara Luzangi, akiongea na wanafunzi wa
shule za msingi wilayani Babati mkoani Manyara hawaonekani pichani, juu ya umuhimu wa matumizi ya
vyakula vilivyowekwa virutubishi katika kampeni za kutoa elimu hiyo
zinazoendelea katika wilaya mbalimbali za hapa nchini
Waendesha kampeni wakitoa elimu ya wanafunzi wa njia ya kutoa burudani katika kampeni zinazoendelea mkoani Manyara
Afisa utawala wa Wilaya ya Babati, Bwana Mshamu akiongea na wadau
kutoka sekta mbalimbali wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuongeza
virutubishi kwenye chakula inayoendeshwa na mradi wa USAID Tuboreshe
Chakula .Kampeni hizo zinaendela wilayani humo leo
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia