Ticker

6/recent/ticker-posts

HII NDO TWASIRA ZA MAZISHI YA BI KIDEDU


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi wakiongoza maelfu ya waombolezajikatika mazishi ya Bi Kidude katika kijiji cha marehemu
Kitumba Wilaya ya Kati Unguja ambako viongozi na waombolezaji hawakujali mvua kubwa iliyonyesha wakati wa maziko


 Mpiha picha  Peter Bennet akiwa na waombolezaji wenzie.



 Miamvuli ya majani ya migomba ilisaidia kiasi




 Wasanii kibao kutoka bara walikuwa miongoni mwa waombolezaji waliojitokeza kumzika Bi Kidude
 Mufti wa Zanzibar akisalimia viongozi
 Mwandaaji wa filamu ya Bi Kidude ya As Old as My Tongue Bw Andy James wa kampuni ya Screenstation ya Uingereza akisalimiana na Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwenye mazishi ya Bi Kidude



 Maziko ya Bi Kidude
 Diamond akisalimia viongozi
 Ruge Mutahaba akisalimia viongozi huku Diamond akifuta machozi
 Fid Q akisalimu viongozi


Mzee Yusuf akiwa na waombolezaji wenzie

Post a Comment

0 Comments