Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Balozi wa Ugiriki nchini
Mhe Elefthereios Kouvaritakis baada ya kupokea hati zake za utambulisho
na kisha kufanya naye mazungumzo leo April 25, Ikulu jijini Dar es salam
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha
Katibu Mkuu wa Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Bw
John haule kwa Balozi wa Bangladesh nchini Mhe Wahidur Rahman baada ya
kupokea hati zake za utambulisho na kisha kufanya naye mazungumzo leo
April 25, Ikulu jijini Dar es salam
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa
na Mkuu wa Itifaki Balozi Mohamed Maharage kwa Balozi wa Kuwait nchini
Mhe Yacoub Y. Alsanad kabla ya ya kupokea hati zake za utambulisho na
kisha kufanya naye mazungumzo leo April 25, Ikulu jijini Dar es salam
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na
Balozi wa Kuwait nchini Mhe Yacoub Y. Alsanad kabla ya ya kupokea hati
zake za utambulisho na kisha kufanya naye mazungumzo leo April 25,
Ikulu jijini Dar es salam. Kushoto ni Bw Abdul Rahman Al-Hashim, Meneja
wa Mfuko wa Maendeleo wa Kuwait aliyeongozana na balozi huyo