KANUMBA DAY KUFANYIKA JUMAPILI ATIMIZA MWAKA MMOJA TANGU KUFARIKI DUNIA



Jumapili ya tarehe saba itakuwa ni mwaka toka mwigizaji Steven Kanumba afariki.Familia yake na wasanii wenzie wameandaa siku hiyo kwa kuiita Kanumba day ambapo watakutana kanisani kwa misa kanisa la kilutheri huko kimara,chakula cha mchana.Pamoja na chakula hicho wataenda makaburini kuzuru.
Jioni pale leades itaonyeshwa filamu yake ya mwisho aliyoigiza kabla hajafariki.Wapezi,wadau wote mnaweza kujitokeza kwani ni bure.

About woinde

Mwandishi , Mjasiriamali na Mbunifu wa Mavazi. Email : woindeshizza@gmail.com , Instagram: woindeshizzablog.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia