WAZIRI MKUU MSTAAFU EDWARD LOWASA WAKIBADILISHANA MAWAZO NA KATIBU MKUU WA CCM MH ABDURAHAMANI KINANA


Waziri Mkuu Mtaafu Mh Edward Lowasa akiwa ana badilishana mawazo na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Mh Abdurahamani Kinana walipo kutana katika maeneyo ya ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam hivi karibuni picha na Chris Mfinanga

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post