HUU NDO MUONEKANO WA MORINGE SOKOINE MINI MARATHON 2013 ILIYOFANYIKA MONDULI JIJINI ARUSHA


"Dickson Marwa"kutoka katika Club ya "Olili"  ndiye mshindi wa kwanza katika mbio za kilometa 10 za kumuenzi hayati "Edward Moringe Sokoine" zilizofanyika jana Monduli Arusha.
Mshindi wa pili "Leonard John" (mwenye nyeusi kushoto) kutoka katika Club ya (Wining Spirit) akiwa na mshindi wa tatu "Msenduki Mohamed" kutoka katika Club ya (Hakika) wakiandikishwa mara baada ya kumaliza mbio za kilometa 10.
Mshindi wa kilometa 10 kwa wanawake - Catherine Lange akiwa mbele ya waandishi wa habari.
Mshindi wa kilometa 10 kwa wanawake - Catherine akihojiwa na TBC
Mshindi wa kilometa 10 kwa wanawake - Catherine Lange akipokea tuzo kutoka kwa Mh. Waziri Mkangara.
Mshindi wa pili katika kilometa 10 kwa wanawake, akiandikishwa mara baada ya kumaliza mbio.
Mshindi wa kwanza kwa wasichana kilometa 2 (kulia) akiwa na mshindi wa pili (kushoto).
Mshindi wa kwanza (kulia) akiwa na washindi wa pili na watatu kwa upande wa wanaume kwa kilomita 2.
Mshindi wa tatu (kushoto) kwa wasichana katika mbio za kilometa 2 akiwa na mshindi wa pili

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post