Mpishi
wa Bia wa kampuni hiyo, Kelvin Nkya, akiwapatia maelezo maofisa wa
majeshi ya Rwanda na Ghana, kuhusu idara mbalimbali za uzalishaji
walipotembelea kiwanda cha bia cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es
Salaam hivi karibuni. Maofisa hao waliongozwa na maofisa wa Jeshi la
Wananchi wa Tanzania (JWTZ).
Maofisa wakipata maelezo katika idara ya uchachuaji bia Maofisa hao wakiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa TBL baada ya kumalizika kwa ziara hiyoPICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA
Meneja
Uhusiano Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emma Oriyo
akiwapatia maelezo ya awali maofisa hao wa kijeshi kutoka nchi hizo
mbili.
Maofisa wakiwa idara ya upishi wakipata maelezo ya jinsi bia inavyopikwa kisasa kwa kutumia kompyuta
Meneja
Uhusiano Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emma Orio
(kushoto) akisalimiana na maofisa wa jeshi la Rwanda na Ghana waliofika
kutembelea utendaji wa kampuni hiyo, Dar es Salaam hivi karibuni.
Mpishi wa Bia wa TBL, Kelvin Nkya akiwapatia maelezo maofisa hao namna bia inavyopikwa kwa kutumia kompyuta.
Maofisa hao wakiangalia kwenye kompyuta jinsi bia inavyopikwa
Baadhi ya maofisa wakijaza majina yao kwenye kitabu cha wageni TBL
Brigedia
Jenerali Jean Jacques Mupenzi kutoka Jeshi la Rwanda, akimkabidhi
zawadi Meneja wa Kiwanda cha Bia cha TBL Dar es Salaam, Calvin Martine
baada ya kutembelea kiwanda hicho.
Baadhi ya maofisa wakitembelea kiwanda hicho, idara ya packaging
Meneja
wa Kiwanda cha TBL Dar es Salaam, Calvin Martine akimpatia zawadi
Brigedia Jenerali Jean Jacques Mupenzi kutoka Jeshi la Rwanda
Maofisa wakipata maelezo katika idara ya uchachuaji bia Maofisa hao wakiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa TBL baada ya kumalizika kwa ziara hiyoPICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia