Bendi ya FM Academia ikiwa chini ya kiongozi wao Nyoshi el Sadati wanatarajia kuwapa wakazi wa mkoa wa Arusha na vitongoji vyake Burudani ya kufa mtu April 26 ndani ya ukumbi wa Triple A uliopo jijini hapa
Bendi hii ambayo nikipenzi kikubwa cha watu wa mkoa wa Arusha imekuwa ikifanya vizuri na wakazi wa mkoa wa Arusha na vitongoji vyake wamekuwa wakii miss kwa kipindi cha mda mrefu
Viingilio vya shoo hii ya wazee wa gwasuma kinatarajiwa kuwa 10000 kwa huku VIP wakitakiwa kulipa shilingi elfu 20000
Nyote nakaribishwa msikose katika shoo hii ya kufa mtu ambapo bendi hii itatambulisha nyimbo yao mpya