Kaimu Kamanda wa polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP)
Ibrahim Kilongo akionyesha bastola aina ya Browning yenye namba 016080
iliyokuwa inatumiwa na wahalifu waliokamatwa na jeshi hilo mkoani hapa.
Mbali na silaha hiyo pia watuhumiwa hao walikamatwa na risasi 41
zinazoweza kutumika katika bastola hiyo
JeshilaPolisiMkoanihapalimefanikiwakuwakamatawatuwatatuwakiwanabastolaainaya
Browning yenyenamba 016080 ambayoilikuwainatumikakutendauhalifukatikamatukiombalimbalijijinihapa.
Mbalinasilahahiyo,
piawatuhumiwahaowalikamatwanarisasi 41 zinazotumikakatikasilahayaainahiyo.
Akithibitishatukiohilo,Akithibitisha KaimuKamandawaPolisimkoanihapaKamishnaMsaidiziwaPolisi
(ACP) IbrahimKilongoalisemakwamba,“Katiyarisasihizo, 13 zilikuwandaniya
magazine yabastolahiyona 28
zilipatikanamarabaadayakufanyaupekuzikatikanyumbayawageniwaliofikiailiyopomaeneoyaSombetinijijinihapa”.
Kilongoalifafanuakwambatukiohilolilitokeatarehe
05/04/2013 eneo la Shamsikatika bar iitwayoTarakeaambapomarabaadayajeshi la
polisikupatataarifakuhusiananakuwepokwawahalifuhaowaliwafuatilianakufanikiwakuwakamatanakuwakutanasilahahiyoikiwanarisasi
13 namarabaadayakuwahojivizuriwalielezanyumbawaliofikia.
AkiwatajawatuhumiwahaoKaimuKamandaalisemanipamojanaHashimuAbdallah
(59) mkaziwaKihondaMorogoro, Omari Hussein Ludanga (40)
MkaziwaMorogoronaGidionNgosi (56) MkaziwaGairoMorogoro.
KamishnahuyoMsaidiziwaPolisialisemakwamba,
uchunguziwajeshi la
polisimkoanihapaulibainikwambawatuhumiwahaokwakushirikiananamtuhumiwamwingineambayealikamatwakatikaeneojinginejijinihapaaitwaye
Raphael Robert Saning’owalihusikakatikamatukiomawiliyauhalifuyaliyotokeajijinihapatarehe
13/04/2013 na 16/04/2013.
“Tukio la kwanza la
tarehe 13/04/2013 mudawasaa 1:30 jionikatikaeneo la Kijengewatuhumiwahaowalimjeruhikwakumpigarisasikwenyepaja
lake la mguuwakushotomwanamkeaitwaye Vicky Maglan (50) nakishakumnyan’ganyafedhataslimuTsh
700,000/= (Lakisaba) pamojanasimuyakeyamkononi, tukioambalolilitokeawakatimwanamkehuyoanatokeadukanikwakekuelekeanyumbaninatumemkamatamtuhumiwawanne
Raphael Robert
akiwanasimuhiyoyamkononi”. AlisemaKaimuKamandaKilongo.
Kaimuhuyoaliongezakwakusemakwambatukio
la pililililofanywanawahalifuhaolilitokeatarehe 16/03/2013 maeneoya Notre Dame
Njirojijinihapa, ambapowalimjeruhikwakumpigarisasi Sister Mary Shobana (79)
katikamguuwakushotonabega lake la kushotonakishakumnyang’anyafedhataslimuTsh
30, 000,000 (30 Milioni)ambazoalitokakuzichukuabenkiya Exim tawi la Shoprite
lililopojijinihapa.
Watuhumiwahaowanaendeleakuhojiwanajeshihilonawatafikishwamahakamanimarabaadayaupeleleziwaawalikukamilika.
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia