Katibu Tawala wa wilaya ya Iringa Elvin
Mwakajinga (katikati) akisaidiana kupanda Miti katika Viwanja vya Chuo Kikuu
cha Tumaini Iringa, na Meneja wa Kinywaji cha Grandmalt, Consolatha Adam
(kushoto) na Meneja Mauzo wa Grandmalt mikoa ya Iringa, Njombe na Songea,
Raymond Degela. Upandaji mitio huo ni sehemu kampeni ya kinywaji cha Grandmalt
ya kuwashindanisha wanafunzi ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni
pamoja fedha taslimu ijulikanayo kama Exel with grandmalt, tamasha hilo
lilifanyikia katika viwanja vya chuo kikuu Tumaini Mjini Iringa jana.
Meneja
wa Kinywaji cha Grandmalt, Consolatha Adam akipanda mti ikiwa ni
sehemu kampeni ya kinywaji cha Grandmalt ya kuwashindanisha wanafunzi
ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha taslimu
ijulikanayo kama Exel with grandmalt, tamasha hilo lilifanyikia katika
viwanja vya chuo kikuu Tumaini Mjini Iringa jana.
Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Tumaini
Mkoani Iringa wakipanda chuoni hapo, ikiwa ni sehemu ya kampeni ya kinywaji cha
Grandmalt ya kuwashindanisha wanafunzi ili kuweza kujinyakulia zawadi
mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha taslimu ijulikanayo kama Exel with grandmalt,
tamasha hilo lilifanyikia katika viwanja vya chuo kikuu Tumaini Mjini Iringa
jana.
Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Tumaini na Ruaha vya
Mkoani Iringa wakichuana vikali katika Mpira wa Netball kwenye Uzinduzi wa Tamasha
la kampeni ya kinywaji cha Grandmalt ya kuwashindanisha wanafundi ili kuweza
kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha taslimu ijulikanayo kama
Exel with grandmalt, tamasha hilo lilifanyikia katika viwanja vya chuo kikuu Tumaini
Mjini Iringa jana.
Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Tumaini na Ruaha vya
Mkoani Iringa wakichuana vikali katika Mpira wa Basketball kwenye Uzinduzi wa Tamasha

Msanii wa Mziki wa kizazi kipya nchini Joh Makini
akiwapagawisha wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya mkoa wa Iringa kwenye Uzinduzi
wa Tamasha la kampeni ya kinywaji cha grandmalt ya kuwashindanisha wanafundi
ili kuweza kujinyakulia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja fedha taslimu
ijulikanayo kama Exel with grandmalt, tamasha hilo lilifanyikia katika viwanja
vya chuo kikuu Tumaini Mjini Iringa jana.
Wanafunzi wa vyuo vya Vyuo Vikuu vya Mkoani Iringa wakishangilia na kufuatilia tamasha hilo jana