Hali ya mvua inayonyesha kwenye mkoa wa Arusha imewaacha wakazi wa
vijiji vya Alkokola na venginevyo kadhaa kwenye kata hiyo wilaya ya
Arusha wakiwa hawana makazi na mahala pakukaa baada ya mvua kunyesha
usiku wa kuamkia jana na Alfajiri ya leo
Pichani ni maji yakiwa yanashuka kwenye maeneo ya Ngaramtoni ya Chini na
Burka huku wakazi wa maeneo hayo wakiyakimbia maeneo yao kama
walivyokutwa na kamera yetu jioni ya leo(picha zote na mahmoud ahmad)
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia