Picha hii ni kwa hisani ya Marcel Mutsaers aliyompiga Bi.Kidude wakati wa Tamasha lijulikanalo kama Festival Mundial kule Tilburg-Uholanzi mwezi June mwaka 2006.
kwaa habari zilizotufikia hivi punde zinadai kuwa aliyekuwa mwimbaji mkongwe mashuhuri wa muziki wa Taarabu alimaarufu KIDUDE BINT BARAKA kwa ( Bi kidude) amefariki dunia kwa habari zaidi endelea kufatilia katika blog yako ya libeneke la kaskazini