MNAKARIBISHWA LIBENEKE PUB KWA SUPU NZURI MISHIKAKI PAMOJA NA CHIPSI BILA KUSAHAU VINYWAJI VYA AINA ZOTE
| Hapa ni mdau wa libeneke blog James mziyo akiwa na mdau Jimmy Mkuyu walipotembelea libeneke pub kupata kilaji usipime ni balaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa unakaribishwa |
Mdau Jimmy wakiendelea kuponda raha na mdau James wakiendelea kula raha unambaambiwa tumia fedha ikizoeeeeeeeeeeeeeeeh njoo libeneke pub utumie fedha yaani ni balaaaaaaaaaaaaaa
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia