Home MAONESHO YA NDEGE ZA KIVITA KWENYE SHEREHE ZA MUUNGANO bywoinde -Saturday, April 27, 2013 0 Ndege za kivita zikifanya maonesho katik sherehe za Miaka 49 ya Muungano jijini Dar es salaam leo. Zenye rangi ya njano zinazomwaga rangi za bendera za Taifa ni ndege za mafunzo na zingine za kijivu ni za kivita. Facebook Twitter