Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt, Mohammed Gharib Bilala akiwa anazindua jiwe la msingi la benki ya ACB jijini Arusha hivi leo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na Mwenyekiti wa Bodi wa Benki ya
ACB ya jijini Arusha, Dkt. Jonas Kipokola, wakifunua kitambaa kuashiria
kuweka Jiwe la Msingi katika Benki hiyo mpya wakati Makamu alipofika
jijini humo kuizindua rasmi leo Aprili 16, 2012.