MWIGIZAJI WA FILAMU STEVEN KANUMBA AFARIKI DUNIA

 picha ikimuonyesha mwigizaji kanumba kabla yakifo chake
Mwigizaji maarufu wa filamu nchini Steven Kanumba amefariki dunia NYUMBANI KWAKE Sinza usiku wa kuamkia leo , habari zinasema mwili wa mwigizaji huyo umepelekwa katika hospitali ya taifa ya Muhibili ili kuhifadhia taarifa zaidi tutawaletea baadae kadiri tukakavyozipokea.
MUNGU AILAZE MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU STEVEN KANUMBA AMEN

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post