BREAKING NEWS

Monday, April 2, 2012

JOSHUA AANZA NA KUCHIMBA VISIMA

 Mbunge wa Jimbo la Arumeru mashariki Joshua Nassar akiwasili kwenye viwanja vya leganga viwanja ambavyo ndio chadema ilizindulia kampeni hapo na ndio iliporudi kutoa shukurani hapo
 Mbowe akiwa anatoa shukurani zake kwa wananchi wa jimbo la Arumeru Mashariki kwa kumpa kura kijana wake Nassar
 Mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Josephy Mbilinyi(sugu ) akiwa anachana mistari kwa wananchi wa Arumeru kama alivyowahaidi iwapo watamchagua Joshua basi atawamwagia swaga za ukweli
Mzee ndessamburo mbunge wa jimbo la moshi mjini akiwa anahutubia wananchi waliojitokeza kwenye sherehe hizo ambapo aliwahaidi kuanza kuchimba visima vya maji hivi karibuni na alisema anaanzia na Kingori 
watu walipanda mafuso wakiwa wanarudi makwao mara baada ya kutoka mkutanoni
kila mmoja alikuwa na hamu ya kumuona mgombea huku wakiwa wanaburudika na vinywaji
Full chademaaaaaaaaaaaaaa

Mamiavya shule ya msingi Leganga  ambapo chama chademokrasia na kilikuwa kinafanya mkutano wake hapo kwaajili ya kuwashukuru wannchi waliomchagua mgombea wa Joshua Nassari kuwa mbunge

katika mkutano huo kulikuwa na shamrashamra mbalimbali zikiwemo nyimbo pamoja na wasanii mbalimbali wakiongozwa na mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Josephy Mbilinyi (Sugu) kumwaga swaga zake.

akiongea katika mkutano huo mbunge wa jimbo la Arsha mjini Godbless Lema aliwataka vijana hususa ni wanaoendesha toyo kuwa makini katika uendeshaji wao huku akisema kuwa wasinywe gpombe wakati wakiendesha,na pia Aliwataka wananchi kumpa ushirikiano wa kutosha mbunge wao waliomchagua

"mimi mwenyewe niliwarusha vichura uko bungeni sasa mmenipa dogo janja tutawapigisha pu shapu mwaka huu"alisema Lema

kwa upande wake mbunge mteule alisema kuwa anawashukuru wananchi kwakumchagua awe mmbunge na amehaidui kuwasaidia na kuwatetea kama walivyompa kazi

Naye mbunge wa moshimjini Ndesamburo aliaidi kushirikiana na Nassari kutatua matatizo yawana Arumeru Mashariki na kusema kuwa wanaanza kwa kuwachibia kisima wananchi wa kingori na maji ya chai.

Share this:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

 
Back To Top
Copyright © 2014 MOUNT KILI NEWS. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates