Mwenyekiti wa chadema Freeman Mbowe akiwa na Mbunge wa jimbo la Arusha mjini aliyeenguliwa Godbless Lema wakiwa wasili katika viwanja vya NMC kwenye mkutano wao wa kutoa tamko la chama kuhusiana na kuenguliwa kwa mbunge huyo
Mbunge aliyeenguliwa Godbless Lema akiwa anaongea na wananchi wa jimbo la Arusha mjini waliouthuria katika viwanja vya NMC
mwenyekiti wa Chadema akiwa anatoa tamko la chama chao kwa wananchi kuhusiana na kuenguliwa kwa mbunge lema |
nakukabidhi jimbo uliangalie kwa kipindi hichi niko likizo