wakiwa kwenye mstari kwenda kupiga kura
Mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Joshua Nassari akiwa anaonyesha fomu mara baada ya kukataliwa
bibi kizee akiwa amejitikeza kupiga kura katika kituo cha Ngaresero
mungu akutanguie katika uchaguzi apo akiwa anaombewa wakati wa kampeni