MAMIA WAJITOKEZA KUMSIKILIZA MBOWE WILAYANI UKEREWE MKOANI MWANZA

 Mbowe akisalimiana na mlemavu wa viungo alipowasili kwa chopa katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Mongella mjini Nansio Ukerewe mkoani Mwanza
 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika  kwenye Uwanja wa Mongella mjini Nansio wilayani Ukerewe mkoani Mwanza.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post