Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mara baada ya
kuzindua rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS
Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni
jijini Dar es salaam
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Chifu Edward
Wanzagi wa kabila la Wazanaki (kati) pamoja na Mbunge wa Afrika
Mashariki Mhe Makongoro Nyerere baada ya kuzindua rasmi meli vita mbili
za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe
zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa amri kuzindua rasmi
meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye
sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es
salaam
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata picha ya kumbukumbu
na makamanda wa meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS
Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni
jijini Dar es salaam