MAMIA YA WAKAZI WA DODOMA WAHUDHURIA SEMINA YA UAJASIRIAMALI KWA NJIA YA MTANDANO

Mamia ya wakazi wa mkoa wa Dodoma na mikoa ya jirani juzi jumanne tarehe 7 /04/2015 karume DAY walijitokeza kwa wingi kwa semina kuhusu biashara ya mtandao ambayo ni biashara ambayo ya karne ya 21 na kuendelea kukua kwa kasi duniani pia hapa nchini na kuwezesha kutengeneza mamilionea kwa wingi bila kujali kiwango chao cha elimu wala kipato na pia huanza kwa mtaji kidogo na bila mkopo toka benki..
Mfanyabiashara wa kimataifa na mjasiriamali aliyefanikiwa katika biashara ya mtandao dada Mariam Njemu alikuwa ni mmoja wa wazungumzaji waliotoa hamasa kubwa kwa umati wa wakazi wa Dodoma na mikoa ya jirani  uliojaa kupata mafunzo ya kuweza kutimiza ndoto zao kwa kufanya biashara hii iliyoaminika na kufanikisha kuwezesha kupatikana mamilionea wengi ndani na nje ya Tanzania 

\Mmoja ya wafanyabiashara  wakubwa waliofanikiwa katika biashara ya mtandao toka mkoa wa Dodoma Ndg George akipozi na wadau wengine wakati semina ikiendelea. 
Mkurungezi wa MWANAHARAKATI MZALENDO MEDIA na  KAJO ITECH Ndg Krantz Mwantepele ambaye mtaalamu wa biashara ya mtandao na mhamasishaji wa mafanikio akipata taswira na mfanyabishara aliyefanikiwa kwa biashara hiyo toka mkoa wa Dodoma ndg Patrick komba  na mdau mwingine 
Wadau wakifuatilia kwa makini semina hiyo ambayo ilfanyika katika ukumbi wa dodoma  jumanne wiki hii na kuhudhuriwa na mamia ya wakazi wa mkoa wa Dodoma na mikoa jirani 
Mfanyabiashara wa kimataifa na mjasiriamali aliyefanikiwa katika biashara ya mtandao dada Mariam Njemu alikuwa ni mmoja wa wazungumzaji waliotoa hamasa kubwa kwa umati wa wakazi wa Dodoma na mikoa ya jirani  uliojaa kupata mafunzo ya kuweza kutimiza ndoto zao kwa kufanya biashara hii iliyoaminika na kufanikisha kuwezesha kupatikana mamilionea wengi ndani na nje ya Tanzania Semina ilifanyika jumanne wiki hii katika hoteli ya Dodoma hotel.

wanawake ambao ni wajasirimali toka mkoa wa dodoma wakifuatilia kwa makini semina ya kuweza kubadili maisha yao na kufanikisha ndoto zao ambayo iliendeshwa na wafanyabishara wakubwa na wajasiriamali waliofanikiwa katika biashara ya mtandao.

Mdau Bendera shekighenda ambaye ni mjasirimali toka mkoa wa Tanga  akifuatilia kwa makini semina ya kuweza kubadili maisha  na kufanikisha ndoto zake ambayo iliendeshwa na wafanyabishara wakubwa na wajasiriamali waliofanikiwa katika biashara ya mtandao 
Mkurungezi wa MWANAHARAKATI MZALENDO MEDIA na KAJO ITECH nd  Krantz Mwantepele ambaye mtaalamu wa biashara ya mtandao na mhamasishaji wa mafanikio akieleza namna jinsi ya kuweza kubadili fikra na kuweza kufanikiwa katika biashara kubwa ya mtandao na kuweza kufanikisha kutengeneza mamilionea wengi ndani na nje ya Tanzania walioka kwenye viti ni dada Esther Mella na mfanyabiashara na mwanafunzi wa udom ndg frey. 

Baadhi ya wafanyakazi toka sekta za umma na binafsi toka mkoa wa dodoma wakifuatilia kwa makini. 
mtaalamu wa biashara ya mtandao ambaye pia ni mwanafunzi wa mwaka wa pili toka chuo kikuu dodoma amefanikiwa kupata kipato kikubwa kupitia biashara ya mtandao akiwa mwanafunzi na kuweza kuishi ndoto zake.

Mfanyabiashara wa kimataifa na mjasiriamali aliyefanikiwa katika biashara ya mtandao dada Mariam Njemu alikuwa ni mmoja wa wazungumzaji waliotoa hamasa kubwa kwa umati wa wakazi wa Dodoma na mikoa ya jirani  uliojaa kupata mafunzo ya kuweza kutimiza ndoto zao kwa kufanya biashara hii iliyoaminika na kufanikisha kuwezesha kupatikana mamilionea wengi ndani na nje ya Tanzania Semina ilifanyika jumanne wiki hii katika hoteli ya Dodoma hotel.
Dada Esther Mella aliyekuwa mhadhiri wa chuo kikuu dodoma akitoa shuhuda jinsi gani biashara ya mtandao ilivyobasilisha maisha yake na kuhamasiha watu bila kujali kada zao na elimu zao kuweza kujiunga na biashara hii kuweza  kutimiza ndoto zao. 
Mfanyabiashara wa kimataifa na mjasiriamali aliyefanikiwa katika biashara ya mtandao dada Mariam Njemu akipata taswira na Mama Beatrice Mkina aliyekuwa mfanyakazi wa serikali kwa sasa ni mjasiriamali na mfanyabishara toka mkoa wa dodoma  Semina ilifanyika jumanne wiki hii katika hoteli ya Dodoma hotel. 

Baada ya semina wadau walipata nafasi ya kukaa kwa vikundi na kupata nafasi ya kuuliza maswali na ufafanuzi zaidi na jinsi ambavyo wanaweza kufanikiwa mapema kwa kufanya biashara hii semina ilifanyika katika hoteli ya Dodoma hotel. 

Mkurungezi wa MWANAHARAKATI MZALENDO MEDIA na KAJO ITECH  Ndg Krantz Mwantepele ambaye mtaalamu wa biashara ya mtandao na mhamasishaji wa mafanikio akipata taswira "selfie " na wadau waliofika katika semina hiyo iliyogfayika katika ukumbi wa dodoma hotel siku ya jumanne 
Mmoja wa  waliohudhuria semina hiyo ndg Ally  akipata nafasi ya kubadilishana namba ya simu na mfanyabishara na mtaalamu wa biashara yaa mtandao toka mkoa wa dodoma dada zainab semina hii ilifayika katika ukumbi wa dodoma hotel



wadau wakipata taswira na watoa mada katika semina hiyo iliyofanyika katika hotel ya dodoma 
semina kama hii itafanyika tena kwa wakazi wa dar siku ya jumapili tarehe 12 mwezi huu katika ukumbi pale ARCADE HOUSE mikocheni kama unataka kuhdhuria
 piga simu 0712579102 /0767392840( krantz ) kupata 



tiketi yako kwa sh elfu 5 tu 
PICHA NA HABARI NA MWANAHARAKATI MZALENDO BLOG 

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post