Zitto
akionyesha nguo za chama za Mwenyekiti wa Wazee wa CCM Wilaya ya Urambo
Bakari Humbe, aliyeamua kuhama Chama Cha Mapinduzi. (Picha na Said Powa)
Kiongozi
wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe, akiwahutubia wakazi wa mji wa Urambo Mkoani
Tabora huku akinyeshewa mvua majira ya mchana jana, ambapo
chama hicho kinaendelea na ziara ya kusaka uungwaji mkono na wananchi.
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe, akiwahutubia wakazi wa
mji wa Tabora kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Uyui mjini hapa jana,
ambapo chama hicho kinaendelea na ziara ya kusaka uungwaji mkono na
wananchi.
Wakazi
wa Wilaya ya Urambo Mkoani Tabora wakiandamana kumpokea kiongozi wa
chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe. ambapo aliwahutubia akazi hao.