Ticker

6/recent/ticker-posts

TANGAZO LA MSIBA WA MAMA FLORA KAAYA


Familia ya Marehemu Freddrick Nicholaus Kaaya wa Mikocheni  Dar es Salaam, wanasikitika kutangaza kifo cha mama yao mpendwa Flora Kaaya kilichotokea 11/04/2015 katika Hospitali ya TMJ.

Mwili wa Marehemu utaagwa nyumbani kwake Mikocheni siku ya jumatano Aprili 15,2015 kuanzia saa 4 asubuhi.

Mazishi yatafanyika kijiji cha Akheri –Arumeru, Arusha suku ya Alhamisi Aprili 16,2015 saa 4 Asubuhi.

 BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA, JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.

Post a Comment

0 Comments